IBADA: Jumatano ya Majivu 2026 | Azania Front Cathedral
Siku ya Jumatano, 18 Februari 2026 ilifanyika ibada kuadhimisha Siku ya Jumatano ya Majivu katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front. Ibada hiyo iliongozwa na Mkuu wa Kanisa, Baba Askofu Dkt. Alex Malasusa na kuhudhuriwa na mamia ya washarika pamoja na wageni.
