Our delegation in Frondenberg & Bauhasen congregations in Germany.
Events
Jumapili ya tarehe 17 Septemba 2023, Mchungaji Kiongozi wa Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral, Chaplain Charles Mzinga aliongoza ujumbe
Siku ya Jumapili tarehe 16 Julai 2023 ilikuwa ni siku ya Vijana katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral, siku ambayo huadhimishwa kila
Tarehe 14-15/06/2023 ilifanyika kambi ya watoto wa Shule ya Jumapili au Sunday School katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral, ambapo
Uongozi wa usharika unapenda kuwatangazia wazazi wa watoto wa shule ya jumapili kuwa tarehe 14-15/06/2023 kutakuwa na kambi ya watoto hapa usharika
Hivi karibuni Kwaya ya Agape inayohudumu katika ibada ya Kiswahili kila Jumapili saa moja asubuhi katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathed
Usharika wa KKKT Kanisa Kuu Azania Front Cathedral tarehe 9 Aprili 2023 ulijumuika na wakristo wote ulimwenguni kusherehekea sikukuu ya Pasaka.
Katika ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral, 7 Aprili 2023 na kuongozwa na Baba Askofu wa Dayosisi
Katika ibada ya Alhamisi Kuu iliyofanyika katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral, 6 Aprili 2023 na kuongozwa na Baba Askofu wa D
Siku ya Jumamosi tarehe 1 Aprili 2023 imefanyika ibada ya wazee katika Usharika wa Kanisa Kuu Azana Front Cathedral, jijini Dar es Salaam
