Kuingizwa Kazini Msaidizi wa Askofu
Tukio la kihistoria la kuingizwa kazini msaidizi wa askofu, katibu mkuu na Naibu wake, wa dayosisi ya mashariki na pwani,lilo fanyika-jumapili tarehe 19 aprili-2015,kanisa kuu azaniafront

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Wageni waliotufikia na Cheti ni Bwana na Bibi Heri Seth Mnzava wanatoka usharika wa KKKT Kariakoo. Wanahamia hapa.
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliotufikia na Cheti.