January 2026
1 Petro 1:13-15 - 29-01-2026
Ufunuo wa Yohana 22:18-21 - 28-01-2026
Kutoka 3:1-6 - 27-01-2026
Isaya 42:1-9 - 26-01-2026
Matangazo ya Usharika tarehe 25 Januari 2026
DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 25 JANUARI, 2026
SIKU YA BWANA YA MWISHO KATIKA MAJIRA YA UFUNUO
NENO LINALOTUONGOZA NI
YESU AJIDHIHIRISHA KATIKA UTUKUFU WAKE
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 18/01/2026
Jumla - Tshs 16,381,350/= Rwanda FR 5,000/=
MATOLEO KATIKATI YA WIKI
Mwanzo 18:1-5 - 24-01-2026
Waefeso 5:23-39 - 23-01-2026
1 Samweli 1:26-28 - 22-01-2026
Marko 2:1-5 - 21-01-2026
Mwanzo 47:1-6 - 20-01-2026
Mwanzo 20:17-18 - 19-01-2026
Matango ya usharika tarehe 18 Januari 2026
DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 18 JANUARI, 2026
SIKU YA BWANA YA 2 BAADA YA UFUNUO
NENO KUU: NYUMBA ZETU HUBARIKIWA NA MUNGU
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 11/01/2026
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
- 0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT
