Psalm 103:8-13, 2 John 1:4-5, Matthew 18:1-10 - 30-09-2018
Jesu loves Children. Yesu apenda watoto. {Pastor P. chuwa}

Jumapili ya tarehe 2/9/2018, Askofu Malasusa aliwabariki na kuwaingiza rasmi kazini wazee wa baraza kwa kipindi cha 2018-2022. Aidha katika ibada ya asubuhi viongozi wote wa vikundi walibarikiwa na kuingizwa rasmi kazini.
"NAMNA YA KUMTENGENEZEA MUNGU NAFASI YA KUJIFUNUA KATIKA MAISHA YAKO"
Karibu Kanisa Kuu Azaniafront. Kuanzia Jumatatu tarehe 03 September, Mtumishi wa Mungu Eng. Goodluck Mushi atahudumu Morning Glory na kuendesha semina ya Neno LA Mungu kila siku saa 11:00 jioni kwa wiki mbili. Usikose! Mwambie na mwingine fursa hii ya kukutana na Mungu. Barikiwa!