July 2023
Matangazo ya Usharika tarehe 30 Julai 2023
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 30 JULY, 2023
SIKU YA BWANA YA 8 BAADA YA UTATU
NENO LINALOTUONGOZA NI
WEMA WA MUNGU WATUVUTA TUPATE KUTUBU
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia kwa cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 23/07/2023
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
2 Wafalme 8:1-6 - 29-07-2023
Siku ya Vijana Azania Front Cathedral 2023
Siku ya Jumapili tarehe 16 Julai 2023 ilikuwa ni siku ya Vijana katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral, siku ambayo huadhimishwa kila mwaka ili kutambua na kuthamini mchango wa vijana katika kulijenga na kuliendeleza neno la Bwana.
Methali 19:15-19 - 28-07-2023
Zaburi 86:11-17 - 27-07-2023
Luka 10:38-42 - 26-07-2023
Wagalatia 4:8-10 - 25-07-2023
Mithali 25:26-28 - 24-07-2023
Matangazo ya Usharika tarehe 23 Julai 2023
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 23 JULY, 2023
SIKU YA BWANA YA 7 BAADA YA UTATU
NENO LINALOTUONGOZA NI
UCHAGUZI WA BUSARA
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia kwa cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 16/07/2023
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT