Daily Words

We should ask God to guide us in life and show us what is pleasing to Him...Lakini zaidi ni muhimu kutafuta kuongozwa na Mungu katika kila kitu...{By Pr. P. Chuwa}
We are all sinners and we need a Saviour to reconcile us to God. ..Sisi sote ni wenye dhambi,hatuwezi kujitakasa, tunahitaji mwokozi...{By Pr. P. Chuwa}
Jesus is calling each one of us...Yesu anatuita sisi sote..{By Pr. P. Chuwa}
Building the Church of Christ concerns all of us..Kazi ya kujenga kanisa la Kristo inatuhusu sisi sote. {By Pr. P. Chuwa}
Let us know that we should be prepared to give our time, money and energy to build God’s kingdom...Unapaswa kuwa tayari kujenga Ufalme wa Mungu kwa njia ya muda na nguvu zako na sadaka zako..{By Pr. P. Chuwa}
We cannot earn our salvation by good works. Hatuwezi kupata wokovu kwa njia ya kutenda mema. {By Pr P. Chuwa}
Ni pale tu ambayo tutakuwa wamoja na Yesu Kristo ndiyo tutakapoweza kuzitenda kazi halisi za Mungu. .Only when we have truly become one with Jesus Christ, are we able to work the works of God...{By S.Jengo, Elder}
Yesu hakupata kushindwa wala hana mpango wa sisi tushindwe maishani. Jesus was never defeated and He has not planned for us to be defeated...{ By S. Jengo, Elder}
Hakuna Roho Mtakatifu wengi, ni mmoja tu.....yule aliyebeba nguvu halisi za Mungu..There are not two, three or five Spirits, there is only one! That is the Holy Spirit....one true anointing of God..{By S. Jengo, Elder}
Sasa ni wakati wetu wa kuvuna, ni wakati mzuri wa kila mtu kupata upenyo katika ulimwengu wa kiroho - It is harvest time! It is a dynamic, new breakthrough in the spirit world {By S.Jengo, Elder}