Daily Words
Let us not take sin lightly. Let us turn from evil. .Tusifikiri Mungu haoni dhambi. Tuache maovu na tuwe na matendo mema...{By Pastor P. Chuwa}
We have not seen Him with our physical eyes but we believe. Jesus says we are blessed...Sisi tunamwamini Yesu Kristo bila kumwona kwa macho ya binadamu.Yesu anasema tuna heri. {By Pastor P. Chuwa}
Through the death and resurrection of Jesus our sins can be forgiven and we can have peace with God...Kupitia kifo na kufufuka wa Yesu Kristo, tunaweza kuokolewa...{By Pastor P. Chuwa}
God will hear our prayers. He will have compassion upon us..Mungu ni mwenye huruma. Mungu anatujali na anasikiliza maombi yetu. {By Pastor P. Chuwa}
Through the death and resurrection of Jesus Christ we have free access to God...Kwa njia ya Kufa na Kufufuka kwake Yesu Kristo, alifungulia njia ya kumkaribia Mungu. {By Pastor P.Chuwa}
Many people have tried to disprove the resurrection of Jesus Christ. But there is much strong evidence that it is true...Mpaka leo watu wengi wanakanusha ukweli wa ufufuo. Lakini kuna ushahidi wa kutosha kwamba Yesu ndiye alifufuka kama mshindi. {By Pastor Chuwa}
Let us continue to trust in God every day. ..Tuendelea kumtegemea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yetu. {By Pastor P Chuwa}
Let us trust in God everyday. Tuendelee kumtegemea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yetu.
Because Jesus rose again we who believe in Him will also rise again to Eternal Life..Na sisi ambao tunamtegemea tutakuwa washindi pia. Tutafufuka na kuishi maisha ya Milele mbinguni..{By Pastor P. Chuwa}
The message of the Gospel is very demanding. Will you follow Christ even when it is hard to do so? Sisi je! Tunatafuta ukweli au tunahitaji unafuu wa maisha ? Utamfuata Yesu hata kama ni ngumu? {By Pastor P. Chuwa}
