Daily Words
Na kama baada ya kujipanga kote huko, unafika mbele zake bila mahitaji, basi usitarajie kupata kitu toka kwake. If you approach God, and your response is to ask God nothing, I am afraid you will leave empty handed..{By S. Jengo, Elder}
When God's promise is seemingly delayed, some Christians do not have the strength of character to keep waiting on the Lord and holding on to His promise..Wakristo wengi hukosa uvumilivu wa kusubiri kudhihirika kwa mpango wa Mungu na kuishia kutafuta mpango mbadala..{By S. Jengo, Elder}
God reaches out to help a man for the sake of His name.....Mungu hunyoosha mkono wake kumsaidia mtu kwa ajili ya Jina lake. {By S. Jengo}
Only faith in the Name of Jesus and faith in the cleansing power of the Blood of Christ Jesus can save us....Ni imani katika Jina la Yesu, na imani kwa damu yake itakasayo, ndiyo inayoweza kutuokoa.{By S. Jengo, Elder}
There is yet a song that you can sing to God. God is willing to work with anyone who is willing to cooperate with Him..Mungu anaweza kumshirikisha yeyote kwenye mipango yake, ili mradi uwe tayari kushirikiana naye..{By S. Jengo, Elder}
God gives you a new song when He turns His prophecies into decrees. Mungu akitaka kuibadilisha huzuni yako kuwa furaha, na kukujaza wimbo mpya, huamuru alichosema kitokee! {By S. Jengo, Elder}
Forbid extensions...Kataa shinikizo la maisha juu yako {By S. Jengo, Elder)
Fear of God..Kumcha Mungu
Return to God with your whole heart...Mrudie Mungu kwa moyo wako wote...{By Elder S. Jengo}
It is impossible to have an encounter with Jesus and not to become a Christian..Hakuna anayekutana na Yesu asiwe mkristo..{By Elder S. Jengo}
