Daily Words
Let us try to live at peace with all people...Tuishi kwa amani na watu wote..{By Pastor P. Chuwa}
Jesus is the peacemaker...Yesu ni Mpatanishi. {By Pastor P. Chuwa}
God reminds his people to obey His commands and walk in His ways and to be thankful for all He has given them...Mungu anawasihi wawe watu wa shukrani pia watii amri zake na watembee katika njia za Mungu. {By Pastor P. Chuwa}
Jesus sustains our lives and He is the one who gives us Eternal Life...Tumshukuru Mungu anatupa chakula cha kimwili lakini tukumbuke pia umuhimu wa kusoma Neno la Mungu kila siku na kumtegemee Yesu kama Bwana na Mwokozi wetu. Yesu anatupa Uzima wa Milele.
We are all sinners and we cannot do anything to please God in our own strength. . Sisi binadamu ni wenye dhambi na hatuwezi kumfurahisha Mungu kwa nguvu zetu wenyewe. {By Pastor P. Chuwa}
Paul had sent Titus to visit the Church at Corinth to see their progress and to advise and encourage them..Mtume Paulo alimtuma Tito kutembelea Wakristo kule Korintho. Alitaka kujua hali yao na kuwatia moyo. ..{By Pastor P. Chuwa}
When we are willing to give to Jesus freely what we have He will take it and use it to bless us and other people...Yesu atapokea kile kidogo tulichonacho na kukizidisha ili kibariki watu wengi. {By Pastor P. Chuwa)
Thank God that Jesus came for all people. Do not discriminate against people based on their nationality or tribe...Yesu hana ubaguzi. Na sisi tusibague watu kwa sababu ya Taifa au kabila lao. {By Pastor P. Chuwa}
Pray that God would guide you as to the work that He has for you and help you to be faithful in doing His will...Mwombe Mungu uweze kujua nafasi yako na kutekeleza wajibu wako kwa uaminifu...{By Pastor P. Chuwa}
Jesus had healed a blind man on the Sabbath day. The Pharisees were annoyed with Jesus because they said He had broken the Sabbath. Yesu amliponya kipofu siku ya Sabato. Mafarisayo walikasirika kwa sababu waliona kwamba amevunja amri ya kupumzika siku ya Sabato...{By Pastor P. Chuwa}
